Michezo

Hii ndo Droo ya nusu fainali ya Champions League

Ratiba ya Nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imeshapagwa na hivi ndivyo inavyoonekana shughuli itakuwa pevu.

UEFA2

Mechi za kwanza zinatarajiwa kuchezwa Aprili 26 na 27, mwaka huu kisha kurudiana Mei 3 na 4 ikiwa ni katika mchakato wa kuelekea kwenye fainali ya michuano hiyo itakayochezwa kwenye Uwanja wa San Siro jijini Milan nchini Italia mnamo Mei 28, mwaka huu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents