Burudani
Video: Utamkubali mtoto wa Beckham akiimba wimbo wa Justin Bieber
Mtoto wa Beckham anafuata nyayo za mama yake kwa kuimba nyimbo ya Justin Bieber.
Cruz Beckham (11) ameonekana kuwa na kipaji kama cha mama yake, Victoria Beckham ambaye alikuwa ni member wa kundi la Spice Girls. Cruz ameonekana kwenye clip ya video inamuonyesha akiimba wimbo ‘Hopeful’ wa Justin Bieber.
Victoria Beckham amepost video ya mwanae na kuandika: “Super cute Cruz!! @davidbeckham @brooklynbeckham #proudmummy X vb.”
https://youtu.be/H2cCg7zpv8k