Michezo

Hiki ndicho kikosi cha Yanga Vs Majimaji FC

Ikiwa Ligi Kuu soka Tanzania Bara inatarajia kuendelea kutimua vumbi katika viunga mbalimbali hapa nchini kwa mashabiki kushuhudia michezo  mitano kupigwa  kwa mujibu wa ratiba ya VPL.

Huko Songea katika Uwanja wa Majimaji kumekucha wapenzi wa kabumbu wamejitokeza katika kununua tiketi  ya kwenda kushuhdia mtanange wa Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara  klabu ya Young Africans inayotarajiwa kucheza na mwenyeji wake timu ya Majimaji katika Uwanja huo.

Tayari kikosi cha Yanga kimesha hanikwa hadharani kitakacho wakabili wana Majimaji FC

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents