Burudani

Hili ndio Aslay alimshauri Nandy kulifanya kwenye ‘Kivuruge’

Unamfahamu aliyesababisha video ya ‘Kivuruge’ itengengenezwe kwenye mazingira ya kawaida ambayo inaonekana gharama zake ni za chini zaidi?

Kupitia kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV, Aslay amethibitisha kuwa yeye ndio alimshauri msanii mwenzake huyo kufanya hivyo.

“Mimi ndiyo nilimshauri Nandy kufanya video ya ‘Kivuruge’ kwa mazingira ya kawaida na kwa gharama nafuu zaidi,” amesema Aslay.

Kwa sasa wasanii hao wawili wameachia wimbo wao mpya uitwao ‘Subalkheri Mpenzi’ ambao awali uliimbwa na kundi la Culture Group kutoka visiwani Zanzibar.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents