Habari

Jaji mstaafu Robert Kisanga afariki dunia

Jaji Mstaafu Robert Kisanga amefariki dunia leo katika Hospitali ya Regence ya Jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.

Taarifa za kifo cha Jaji Kisanga zimethibitishwa na Msajili wa Mahakama ya Rufaa John Kahyoza. Mbali na Mahakama ya Rufaa, Marehemu Jaji Robert Kisanga alifanya kazi Baraza la Habari Tanzania (MCT).

Mbali ya shughuli za Mahakama, Jaji Kisanga alikuwa mwenyekiti wa kwanza wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents