Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Huenda huyu ndio mpenzi mpya wa Brandy

Mkali wa muziki wa RnB nchini Marekani Brandy amabye amekaa single kwa muda mrefu bila ya kuwa na mpenzi, hatimaye siku za karibuni ameamua kutuonyesha mpenzi wake mpya kupitia Instagrama yake.

Mpenzi huyo mpya wa Brandy anajulikana kama Sir Baptist ambaye ni producer wa muziki, hata hivyo brandy hajasema chochote ukiachia kupost picha hizo mtandaoni.

Na Laila Sued

 

 

 

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW