Michezo

Ibrahim Ajib wa Simba SC achukua tuzo ya mchezaji bora wa Mwezi

Klabu ya Simba ilianzisha tuzo ya mchezaji bora wa mwezi kuanzia mwezi September 2015. Jana Feb 28 baada ya mechi ya Kombe la maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam,

DSC_0008

Ilimtangaza mshindi wa mwezi wa December, 2015 Ibrahim Ajib ambapo amepata kura nyingi zaidi zilizopigwa na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka wa Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents