Burudani

Karrueche Tran apuuzia kilio cha Chris Brown kwenye remix ya Back To Sleep

Karrueche Tran hayupo tayari kumrejesha Chris Brown kwenye maisha yake licha ya muimbaji huyo kumuomba warudiane kwenye remix ya wimbo wake “Sex You Back To Sleep,” kwa mujibu wa ripoti mpya.

chris-brown-karrueche-tran-not-ready-date

Chris na Karrueche waliachana March mwaka jana baada ya staa huyo kuzaa na model, Nia Guzman. Mtandao wa Urban Islandz uliripoti kupitia vyanzo kuwa Brown aliwasiliana na mrembo huyo baada ya kuachia wimbo huo lakini alimpuuzia.

Hadi sasa msichana huyo hajajibu chochote tangu wimbo huo walioshirikishwa Zayn Malik na Usher utoke. Chris amelitaja jina la Karrueche kwenye wimbo huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents