Moto Hauzimwi

Ifanye nguo ya kulalia kama mtoko wa baby shower

Mara nyingi nguo za kulalia zimekuwa zikionekana kama nguo za siri sana kuonekana hadharani, lakini leo nitakuonyesha jinsi ya kutumia vazi hilo kwenye mtoko wa baby shower.

Family ya Kardashian ni moja ya watuwasiokubali kushindwa ki-fashion wameamua kutumia vazi la kulalia kama nguo ya kuvaa katika sherehe ya baby shower ya Kylie.


Unaweza ukavaa nguo hiyo na viatu virefu ama flat na ukapendeza. Ila nguo hizi zinatofauti kidogo na zile tulizozizoea za kulalia hivyo basi kabla haujanunua na kuvaa hakikisha kuwa unajua nini unataka na uwaone wale wanaozijua vyema nguo hizo ili wakupe ushauri mzuri.

Katika sherehe hiyo ya Kylie tumeona wametumia rangi ya light pink na maziwa kama utambulisho wa kuwa mtoto anayekuja ni wa kike, hivyo basi wakati unartaka kufanya baby shower hakikisha unajua jinsia ya mtoto ajaye ili usikosee katika rangi.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW