Burudani

Walichoandika Diamond, Professor Jay na mastaa wengine kuhusu send-off ya AY

Jana ilikuwa siku nzuri sana kwa msanii wa muziki hapa Tanzania, AY kwani alifanya send-off ya mpenzi wake wa muda mrefu aitwaye Remmy kutoka nchini Rwanda.

Kufuatia tukio hilo  Wasanii na watu mashuhuri nchini Tanzania wamempongeza AY kwa kukamilisha tukio hilo tukufu.

PROFESSOR JAY:

  • professorjaytzHongera sana Mdogo wangu @aytanzania na mkeo @remyrwanda kwa hatua hii muhimu ya Kufunga Pingu za Maisha, Mungu awasimamie na awabariki zaidi na zaidi muwe na maisha Mema yenye furaha na baraka tele🙏🙏🙏
    @fundifrank @moshiiri Wakujipekecha mmetisha sana🔥🔥🔥🔥🔥

DIAMOND PLATNUMZ:

MWANA FA:

  • mwanafamy brother @aytanzania ,karibu kwenye hili timu la watu wazima wenzio..Mungu awabariki wewe na shemeji wa Taifa @remyrwanda kwenye muunganiko wenu huu..Godspeed my G.
    Ila Rwanda hapana aisee,hapana / photo by @mxcarter

B-DOZEN:

  • bdozenHongera Sana Toyoyo @aytanzaniaMwenyezi awaongoze kwenye hili we Na #Remy! Na nawaombea Ndoa idumu Milele!!!

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents