BurudaniVideos

Irene Ntale: Napenda nije nimshirikishe Alikiba, ana sauti nzuri sana (Video)

Msanii wa Uganda, Irene Ntale, amesema ndoto yake ni kuja kumshirikisha Alikiba, kwasababu ni msanii anayemkubali sana.

Alisema hayo nilipozungumza naye hivi karibuni jijini Lagos, Nigeria kwenye tuzo za Afrima ambako alikuwa ametajwa kuwania.

“Me personally, I would love to do a collaboration with Alikiba,” alisema Irene. “I love his voice, he sings so well, he sings so nice,” aliongeza.

Amesema kuwa Wizkid na Simi wa Nigeria ni wasanii wengine anaopenda kuja kufanya nao kazi.

Ameongeza kuwa mwakani anatarajia kufanya kazi na Sauti Sol.

https://www.youtube.com/watch?v=Fy1dgP8awqY

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents