Jamie Vardy na Mahrez waibeba Leicester City King Power

Wachezaji wa klabu ya Leicester City inayoshiriki ligi kuu ya England, Jamie Vardy na Riyad Mahrez wameisaidia timu yao kuchomoza na ushindi wa mabao 2-0 ikiwa nyumbani dhidi ya Watford.

Jamie Vardy alikuwa wa kwanza kuiyandikia bao Mbweha hao wa England dakika ya 39 kabla ya Mahrez kuhitimisha karamuhiyo ya mabao kwa kufunga dakika ya 90.

Kwa matokeo hayo sasa Leicester inakuwa nafasi ya saba kwakuwa na jumla alama 34 wakati Watford ikiwa ya 10 katika msimamo wa ligi kwa kujikusanyia pointi 26.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW