Burudani

Jarida la wanaume ‘Play boy’ linatamani kupata picha mpya za utupu za Kim Kardashian akishajifungua

Wakati vyombo vingine vya habari vikiwa vinasubiri kwa hamu kupata picha za mtoto wa Kim Kardashian na Kanye anayetarajiwa kuzaliwa siku chache zijazo, jarida la watu wazima (wanaume) la Play Boy linatamani kupata picha za Kim akiwa mtupu baada ya kujifungua.

playboy-00

Chanzo cha karibu na jarida hilo ameuambia mtandao wa hollywoodlife kuwa playboy wanaamini kuwa kama watapata nafasi ya kupata picha mpya za utupu za Kim baada ya kujifungua litauza zaidi ya zile za mwaka 2007.

Historia huwa haifutiki, lakini wakati mwingine inaweza ikamuandama mtu kwa maisha yake yote, ndio kinachomtokea sasa Kim Kardashian baada ya kujihusisha na upigaji wa picha za utupu na utengenezaji wa filamu ya kikubwa na aliyekuwa mpenzi wake wakati huo Ray J.

kim2

Well, sometimes biashara huwa zinafanya vitu visivyowezekana viwezekane, but then Unadhani Kanye West anaweza kuruhusu kitu kama hiki kujirudia kwa mama wa mwanae Kim K hata ikitokea Play boy ikimtangazia dau nene kama dunia?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents