Michezo

Je yupi anaweza kuziba nafasi ya Carrick na Fellaini wanao tarajiwa kuondoka United ?

Meneja wa Manchester United, Jose Mourinho ameeleza kuwa anahitaji kusajili viungo wawili wakati wa dirisha la majira ya joto.

Manchester United inatarajia kumpoteza Michael Carrick ambayo anaelekea kustaafu soka na kujiunga na benchi la ufundi la timu hiyo wakati huo huo Marouane Fellaini  akitimka zake Old Trafford.

Mourinho anahitaji mtu atakayeweza kuwa na Nemanja Matic na pia kumletea ushindani Paul Pogba na Juan Mata.

Hawa wafuatao huwenda wakaziba nafasi hizo mbili zinazotarajiwa kubaki wazi.

JEAN MICHAEL SERI

Klabu anayoichezea sasa ni OGC Nice

Thamani yake ni pauni milioni 35

Jean Michael Seri is 26, an Ivory Coast international and an excellent passer of the ball

Jean Michael Seri umri wake ni miaka 26, kiungo wa timu ya taifa ya Ivory Coast, alikosa nafasi ya kujiunga na Barcelona msimu uliyopita.

SERGEJ MILINKOVIC SAVIC

Sergej Milinkovic Savic is coveted by the likes of United, Chelsea, Real Madrid and Juventus

Klabu yake ya sasa ni Lazio

Thamani yake ni pauni milioni 80.

Sergeji mwenye umri wa miaka 23 anauwezo wa hali ya juu lakini pia ni rafiki wa zamani wa Nemanja Matic katika timu ya taifa ya Serbia.

JORGINHO

Timu yake ya sasa ni Napoli

Thamani  yake ni pauni milioni 35

Jorginho, a Brazilian with an Italian passport, is Liverpool's No 1 option to replace Emre Can

Jorginho mwenye umri wa miaka 26 amekuwa mchezaji muhimu ndani ya Napoli .

TONI KROOS

Timu yake ya sasa Real Madrid

Thamani yake ni pauni milioni 30

Real Madrid midfielder Toni Kroos very nearly joined United during the tenure of David Moyes

Toni anaweza kuziba nafasi ya Carrick bilashaka kutokana na kiwango kikubwa alicho nacho.

VICTOR WANYAMA

Anakipiga katika timu ya  Tottenham

Thamani yake ni pauni milioni 40

Both United and Liverpool are admirers of Tottenham central midfielder Victor Wanyama

United na Liverpool wamekuwa wakivutiwa kwa mchezaji huyu wakimataifa wa Kenya  ambaye amerejea kutoka katika majeraha.

Klabu zote zinavutiwa na kiwango cha mchezaji huyu mwenye umri wa miaka 26 anayecheza timu ya Tottenham.

WILLIAN

Anacheza timu ya Chelsea

Thamani yake ni pauni milioni 40

United enquired about Willian in January and will consider asking again in the summer

Jose Mourinho amesema haitaji mshambuliaji katika dirisha la usajili wa majira ya joto ili huvutiwa na kiwango cha Willian hasa katika umaliziaji.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents