Michezo

Jezi mpya za Yanga hizi hapa, je kunautofauti gani na za msimu uliyopita ? (+VIDEO)

Klabu ya Young Africans Sports Club hii leo tarehe 11 Septemba 2020 imezindua rasmi jezi yake mpya ambayo itatumika kwaajili ya msimu wa mwaka 2020/21 Ligi Kuu soka Tanzania Bara pamoja na michuano mingine. @yangasc imezindua uzi huo mpya katika makao makuu ya klabu hiyo yaliyopo Jangwani jijini Dar Es Salaam huku wakijinasibu kuwa ni moja kati ya Jezi bora barani Afrika.

IMEANDIKWA NA HAMZA FUMO, INSTAGRAM @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents