Siasa

JPM: Bila Kikwete nisingekuwa Rais, aliwatwanga Marafiki zake akaniteua mimi (+Video)

“Bila Kikwete nisingekuwa Rais, aliwatwanga mpaka Marafiki zake akaniteua mimi kwasababu kwenye Uongozi hakuna Urafiki, hata Mzee Mkapa alikuwa na Marafiki zake akawatwanga akampa Kikwete, wengine wakalalamika amebadilisha katiba nilikuwepo nilikuwa waziri wenu”

“Kwenye uongozi hakuna Urafiki unatanguliza maslahi mapana ya Taifa,Kikwete aliwatwanga Rafiki zake akaniteua, Mkapa aliwatwanga Rafiki zake akamteua Kikwete, Mwinyi na Nyerere hivyohivyo, Wastaafu wakiona nimefukuza Rafiki zangu kwenye kazi ni kwasababu nimejifunza kwao”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents