Michezo

Kama sitofiti ndani ya kikosi cha Simba nisinge sajiliwa – Morrison awajibu wanaosema hatofiti Simba (+Video)

Mchezaji mpya wa klabu ya Simba, Bernard Morrison amesema kuwa wanaosema kuwa hata weza kufiti katika kikosi cha Mabingwa hao basi wasingeweza kumsaini, ila mpaka wameweza kumsajili basi wameona atafiti kwenye kikosi hiko ambacho kinaonekana kina wachezaji wengi wazuri.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents