Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Kanisa lajia juu ‘Vimini’


Kanisa la Katoliki limejia juu wavaa vimini kanisani kwa kutishia kuwavisha kaniki na hata kupelekea kutozwa faini.
Mwenyekiti Msaidizi wa Baraza la Walei, Parokia ya Msewe, Benedict Fungo, amekiri kuwa onyo hilo lilitolewa na kanisa lake baada ya kuonekana kwa waumini wengi kukiuka maadili ya kanisani kwa kuvaa nguo ambazo ziliwakwaza waumini wengine.

Mwenyekiti msaidizi huyo aliendelea kusema kwamba waumini hao wanaovaa nguo zisizopendeza walionywa kuvishwa kaniki na kutozwa faini ya Tsh. 500.

Kanisa limekua likitoa onyo kwa tangu miezi michache iliyopita kufuatia kuonekana maadili ya kanisa kutishiwa.

Wadau hili mnalionaje??

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW