Picha

Kate Middleton alishitaki jarida la Ufaransa kwa kuchapisha picha zake za utupu

Kate Middleton na mumewe Prince William wametangaza vita na jarida Closer la nchin Ufaransa baada ya kuchapisha picha za utupu za malkia huyo mtarajiwa wa Uingereza.

Couple hiyo ya kifalme ya Uingereza imefungua kesi dhidi ya chapisho hilo.

Mwakilishi wa ikulu ya St. James jana alitoa maelezo yasemayo “legal proceedings for breach of privacy have been commenced today in France” by the royal couple.

Picha hizo zinamwonesha Kate akiwa kifua wazi wakati wa likizo yao na Prince William nchini Ufaransa hivi karibuni.

Muda mfupi baada ya picha hizo kuchapishwa, familia ya kifalme ya Uingereza ilitoa maelezo yasema, “Their royal highnesses have been hugely saddened to learn that a French publication and a photographer have invaded their privacy in such a grotesque and totally unjustifiable manner.”

Hata hivyo mhariri wa jarida hilo Laurence Pieau amesema wanazo picha zingine mbaya zaidi ambazo waliamua kutozichapisha.

Akitetea uamuzi wa jarida la Closer kuchapisha picha hizo, mhariri huyo alisema, “I won’t hide the fact that there are more intimate pictures that exist that we haven’t published and will not publish. These images are full of joy, not degrading.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents