Michezo

Kikosi cha Simba kutua Dar na ndege usiku wa leo

Kikosi cha Simba kipo safarini kutoka mkoani Shinyanga kuelekea Mwanza ambapo usiku saa 1:00 kitaondoka jijini Mwanza kurejea jijini Dar es Salaam kwa usafiri wa ndege kupitia Shirika la ATCL.

Simba SC inatarajia kurejea Dar es Salaam huku ikiambulia sare ya magoli 2 – 2 katika mchezo wake wa mwisho dhidi ya Mwadui FC iliyocheza hapo jana.

Wakati kikosi hicho mpaka sasa kinaongoza katika msimamo wa ligi kuu kwa kuwa na jumla ya pointi  42 huku kikiwa kimecheza jumla ya michezo 18.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents