Michezo
Kikosi cha Stand United kitakachoshuka dimbani dhidi ya Simba SC hiki hapa
Klabu ya Stand United imeanika kikosi chake kitakacho shuka dimbani jioni ya leo kuwakabili vinara wa ligi kuu soka Tanzania Bara.
Stand United itashuka dimbani majira ya saa 10:00 katika dimba la Taifa, Dar es Salaam.