Kikosi kamili cha Yanga SC dhidi ya Majimaji hiki hapa

Baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1 – 0 dhidi ya St Louis mchezo wa klabu bingwa Afrika hatimaye mabingwa watetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara klabu ya Yanga hii inatarajia kushuka dimbani kuivaa timu ya Majimaji hii leo.

Kuelekea katika mchezo huo muhimu kwa pande zote mbili kuhitaji kuibuka na ushindi ili kuondoka na pointi tatu, Yanga SC imeanika kikosi chake kitakachoshuka uwanjani.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW