Michezo

Kilimanjaro Warriors wajifua chini ya Kim Paulsen (Picha)

Kikosi cha timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 23, Kilimanjaro Warriors kinaendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa Karume chini ya walimu Kim Paulsen na Oscar Mirambo.

Kikosi hicho cha wachezaji 35 kitafanyiwa mchujo na kubakia na wachezaji 25 watakaounda timu ya Olympic.

Kambi hiyo iliyoanza Novemba 5,2017 itachukuwa siku 10 mpaka Novemba 16,2017.

Picha zikionyesha Kilimanjaro Warriors wakiwa katika mazoezi leo Karume

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents