Burudani

Kitabu cha mke wa Kanu chazindulia

By  | 

Nwankwo Kanu akiambatana na mkewe Amara Kanu wamezindua rasmi kitabu cha ‘Healthy Living with Amara Kanu’ siku ya tarehe 14 mwezi huu.

Uzinduzi huo ulioudhuliwa na wageni 100 ikiwa ni watu wa karibu wa familia hiyo akiwemo muigizaji Omotola Jalade Ekeinde na mume wake, Kitabu cha Amara kinaeleza mambo mbalimbali ya maisha ikiwemo swala la afaya.

Moja nukuu zinazopatikana katika kitabu hicho ni “Remember, you can be useful to others only when you are able to be useful to yourself, You have to take joy and pride in taking care of your body and mind. Love yourself and you would see love radiate in your life through your outlook.”

Na Laila Sued

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments