Shinda na SIM Account

Kitu kipya cha Jay akiwa na Mzambique na Mmarekani

jaymoe-3

Mwanamuziki Juma Mchopanga ‘Jay Moe’ baada ya kudondosha kile kitu cha mvua na jua Remix akiwa na Roma Mkatoriki. Ameamua kuja kwa mtindo mwingine kwa kufyatua kitu kingine cha You Can Never Be Me, akiwa na  Mims kutoka majiwe matatu yaani USA, Immu Cabir kutoka Mozambique huku Choras ya wimbo huo ukishirikiriwa na Avid wa Tz.


Mkuno wa P Funk Majani na Antonio ndiyo uliohusika katika kukamilisha chakula hicho mpaka kinaingia mtaani.

Immu

Immu

mimms-
Mimm kutoka Marekani

Wimbo huu hebu sikiliza
Jay Moe feat Mimmis, Avid na Immu
{mmp3}Jaymoe-ucanneverbeme.mp3{/mmp3}

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW