Mitindo

Kivazi cha Rita Ora katika tuzo za MTV EMA chazua gumzo

Wengi tumezoea kuona vazi la taulo maeneo ya bafuni, ila mwanadada Rita Ora amezua gumzo kwa kutinga vazi la bafuni katika shughuli za utoaji wa tuzo za MTV EMA mwaka 2017.

Rita ambaye alikuwa mshehereshaji mkuu katika shughuli hiyo iliyofanyika wikiendi hii nchini Uingereza, aliwashangaza watu wengi baada ya kutokea ukumbini akiwa ametinga mataulo yake meupe hadi kichwani mithiri ya mtu aliyetoka kuoga.

https://www.instagram.com/p/BbaGDBbBIK8/?taken-by=ritaora

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents