Habari

Kivuko cha MV Nyerere kilichokuwa kimepinduka na kuzama chainuliwa 

Kivuko cha MV Nyerere kilichokuwa kimepinduka na kuzama kichwa chini, kimeinuliwa nakuwa wima kama kilivyokuwa hapo awali kabla ya ajali.

Zoezi hilo la kukinasua kivuko hicho  kilichonasa katika Ziwa Victoria Septemba 20,2018 limekuwa na mafanikio makubwa baada ya vikosi vya uokoaji kufanikiwa kukinyanyua na kuonyesha taswira halisi ya kivuko hicho.

MV Nyerere ambayo imepata ajali juma lililopita limesababisha vifo vya watu zaidi ya 200 ndani ya Ziwa Victoria

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents