Michezo

Klabu ya Simba ya msimamisha nahodha wake msaidizi Hassan Isihaka

Kamati ya utendaji ya klabu ya Simba February 29 imetangaza kumsimamisha nahodha wake msaidizi Hassan Isihaka kuichezea klabu ya Simba kwa muda usiojulikana.

Isihaka

Afisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara amesema hayo alipo ongea na Millard Ayo.

“Ni kweli tumemsimamisha leo mchana kutoka na utovu wa nidhamu, jana tukiwa kambini alimjibu kocha wa Simba Jackson Mayanja kuwa likizo yake ya kukaa benchi imeisha na kwani asicheze mechi ya Simba na Yanga, apangwe mechi dhidi ya Singida United

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents