Michezo

Kocha wa Toto African Logacian Kaijage ametangaza kuachana na timu hiyo

Kocha mkuu wa timu ya Toto African Logacian Kaijage, ametangaza kuachana na timu hiyo kwa kile alichokisema kuwepo kwa sababu za ndani ya timu zinazomsukuma kuachana na timu hiyo.

rogasian-kaijage

Kaijage akiongea na mtangazaji wa TBC One amesema

“Unajua mimi ni mwalimu mzoefu na timu inawachezaji wazuri japo siyo wazoefu kuna vitu ambavyo vipo ndani ya timu ambavyo siwezi kukwambia mtangazi kwaiyo naona hata nikisema niendelee kubaki patakuwa ivyo ivyo tu ambavyo kwangu vitakuwa ni vikwazo katika kufanya kazi yangu ya ukocha” Alisema Kaijege

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents