Picha: Ciara akava jarida la Legend la mwezi huu
Ciara amekava jarida la Legend kwenye toleo linalotarajiwa kutoka mwezi huu.
Muimbaji huyo amefunguka mambo mengi kwenye jarida hilo ikiwemo jinsi alivyojisikia wakati wa ndoa yake na mumewe Russell Wilson mwezi Julai, mwaka huu pamoja na kuachia albamu yake mpya na mengine mengi.
“It was honestly so beautiful and I really felt like I was in a fairy tale. It was everything I hoped for. Everything I could have hoped for, dreamed of, happened on that day. It was memorable. We spent two days with all the people that we love, your family and your close friends. I’m definitely still floating, it’s only three months ago and it’s crazy how time goes by.”
“Well, I’m making an album. That’s really exciting, it’s something I’m taking my time on. I want to make sure that I put myself in every part of it, all my creative thoughts, feelings, everything on this album.”