Tia Kitu. Pata Vituuz!

Lewis Hamilton abashiri ‘Game’ ya El Clasico, aibeba Barcelona kwa idadi hii ya magoli (+Video)

Mwendesha magari yaendayo kwa kasi zaidi wa Kampuni ya Mercedes na shabiki wa klabu ya Barcelona, Lewis Hamilton ameitabiria ushindi timu hiyo mbele ya Real Madrid usiku wa Jumapili hii wa El Clasico.

Dereva huyo wa magari ya langalanga wa England, amepokea zawadi ya jezi ya Barcelona nyumbani kwake ikiwa tayari imeandikwa jina leka la ‘Hamilton’.

Lewis Hamilton ame ‘bashiri’ kuwa Barcelona itaibuka na ushindi wa jumla ya magoli 3 – 1 dhidi ya Real Madrid, utabiri huo akiuweka wazi kupitia kipande kifupi cha video ambacho kimepostiwa na akaunti ya Instagram ya Barca.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW