Siasa

Magufuli ashinda kwa asilimia 100 kugombea Urais kupitia CCM 2020 (+Video)

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa @ccm_tanzaniaTaifa, wamempitisha@MagufuliJP kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kwa kura 1822 ambayo ndio idadi ya wajumbe waliohudhuria na ni asilimia 100 ya kura zote.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents