Mitindo

Makeke aachia vazi la ungo, aanza kumvalisha Mrisho Mpoto (Video)

Mbunifu wa mavazi wa Kimataifa, Makeke International amekuja upya na vazi la ungo baada ya kufanya vizuri mwaka 2017 na vazi la magome ya miti. Mbunifu huyo amesema nyota yake ilianza kung’aa baada ya kufanya kazi na msanii wa muziki wa asili nchini Tanzania, Mrisho Mpoto

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents