Michezo

Makocha 5 Wakaa mkao wa kula


Shrikisho la mpira wa miguu Tanzania “TFF” limetangaza kuwa makocha watano wa nchi za Ulaya ndio walio katika nafasi nzuri ya kufundisha timu ya taifa ya Tanzania “Taifa Stars”.

Akizungumza na vyombo vya habari jijini jana katibu mkuu wa TFF bwana David Mwakalebela amesema makocha kutoka nchi tano za Ulaya ndio waliofuzu hatua ya mwisho katika mchakato wa kumpata kocha  huyo.

Akiendelea bwana mwakalebela alizitaja nchi wanazotoka makocha hao ni pamoja na Bulgaria, Portugal, Denmark, Poland na Serbia. Tayari makocha hao kutoka nchi hizo tano wamepewa notisi ya kuja Dar es Salaam kwa ajili ya usahili wa mwisho.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents