Michezo

Marouane Fellaini kuigharimu Man United

Klabu ya Manchester United huwenda ikaingia hasara ya kumuacha huru kiungo wake, Marouane Fellaini bila kuambulia chochote.

Fellaini ambaye ni kiungo wa timu ya taifa ya Ubelgiji mpaka sasa hajaongeza mkataba mpya ndani ya timu hiyo licha kukaa marakadhaa kujadili upya bila mafanikio ilihali ule wa hawali ukitarajia kumalizika Juni 30.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 alikataa ofa ya kuendelea kuitumikia timu hiyo mwezi Septemba mwaka.

Marouane Fellaini amejiunga na United kwa dau la paundi milioni 27 mwezi Agosti chini ya meneja David Moyes .

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents