Burudani ya Michezo Live

Mashabiki marufuku mechi za Simba, Yanga nje ya Dar 

SERIKALI YAZUIA MASHABIKI KUINGIA KATIKA MECHI ZOTE ZA NYUMBANI ZA TIMU YA MBEYA CITY PAMOJA NA MECHI ZA SIMBA SC NA YANGA SC NJE YA DAR ES SALAAM.

Serikali imezuia Timu ya Mbeya City FC ya Mbeya kucheza na mashabiki kwa mechi zake zote zilizo salia kwenye Uwanja wake wa Sokoine jijini Mbeya kutokana na kukiukwa kwa Mwongozo wa Afya michezoni wakati wa mchezo kati ya timu hiyo na klabu ya Simba ya Dar es salaam

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW