Michezo

Mashabiki Simba wanawapenda wachezaji wao, nitawafanya wafurahi – Morrison atoa ahadi nzito (+Video)

Mchezaji mpya wa klabu ya Simba na aliyetikisa katika kuzungumziwa juu ya usajili wake kutokea kwa Mabingwa wa kihistoria, timu ya Wananchi Yanga SC mpaka kutua kwa Mabingwa wa nchi Simba SC, Bernard Morrison ametoa ahadi ya kuwafurahisha mashabiki wa Wekundu hao wa Msimbazi na kuachana na kusahau kabisa maneno maneno yanayozungumziwa dhidi yake.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents