Habari

Mbunge wa Chadema ajiuzulu na kujiunga na CCM

Mbunge wa Jimbo la Serengeti mkoani Mara, Marwa Ryoba Chacha amejiuzulu Ubunge wa jimbo hilo muda huu akieleza ni katika kuunga mkono juhudi za Rais John Magufuli.

Kwa mujiubu wa Azam tv, Akizungumza hapo jana Septemba 27 Marwa amesema amechukua uwamuzi huo kumuunga mkono mwenyekiti wa CCM, Rais Magufuli.

Amesema wakati akigombea ubunge aliahidi kuwaletea maendeleo wananchi wake lakini dhamira yake haijafanikiwa kutokana na vikwazo anavyokumbana navyo ndani ya Chadema.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents