Burudani
Meja Kunta: Alichonifanyia Diamond sikukitegemea (Video)
Msanii wa muziki wa Singeli, Meja Kunta amedai promo ambayo ameifanya Diamond kwa wimbo wake Wanga akuwa na Lavalava ni kitu ambacho hakukitegemea katika maisha yake.