Michezo

Messi awashinda Ronaldo na Suarez tuzo ya mwanasoka bora Ulaya

Mchezaji wa Barcelona, Lionel Messi jana August 27 alishinda tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka wa Ulaya msimu wa 2014-15 baada ya kuwashinda Cristiano Ronaldo na mchezaji mwenzake wa Barca, Luis Suarez.

messi

Messi ameshinda tuzo hiyo kwa mara ya pili katika sherehe zilizofanyika kwenye ukumbi wa Monte Carlo mjini Monaco, Ufaransa jioni baada ya kupangwa kwa ratiba ya makundi ya ligi ya mabingwa wa Ulaya.

Messi 2

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents