Tia Kitu. Pata Vituuz!

Mfahamu Mtanzania anayewanyoa mastaa wakubwa kama Davido, Burna Boy Samatta na wengine – Video

Mfahamu Mtanzania anayewanyoa mastaa wakubwa kama Davido, Burna Boy Samatta na wengine - Video

Wengi walikuwa wanafuatilia sana kipindi cha Mkasi ambacho kilikuwa ni moja ya vipindi vikubwa sana kuwahi kutokea Tanzania. Mmoja ya watu ambao alikuwa Watangazaji ni @mubah5 ambaye pia alikuwa Kinyozi katika kipindi kile.

Kutokana na kipaji alichokuwa nacho @mubah5 cha kunyoa hakuamua kuachana na kazi hiyo kwani tayari amefungua Saluni nyingine ya MUBAH BARBERSHOP kwa ajili ya kutoa huduma na kufanya kile anachokipenda pia kuchangia pato la taifa. Mubah ameongea mengi sana ikiwemo kufanikiwa kufanya kazi na mastaa wakubwa kutoka Afrika kama.

akiwa @davidoofficial @burnaboygram @heisrema @youngskales @mreazi na wengine wengi sana, Mbali na kufanya kazi na mastaa hao wa nje pia kwa upande wa Tanzania alifanikiwa kuwanyoa wasanii wengi na bado anaendelea kuwanyoa akiwemo mchezaji wa @avfcofficial na Nahodha wa @taifastars_ @samagoal77

By Ally Juma.

salum hamis mwenyekiti smtaa wa suna kata ya magomeni

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW