Muziki

Miss Karun atoa wimbo wake wa kwanza kama Solo artist “Photograph” (Audio)

Baada ya kujiondoa katika kundi la Camp Mulla aliyekuwa first lady wa kundi hilo Miss Karun ameachia single yake ya kwanza kama msanii wa kujitegemea unaoitwa “Photograph”.

karun-2

Wimbo wa Karun ambao umetoka rasmi jana (July 9) ikiwa ni siku chache baada ya member mwingine wa kundi hilo Kus Ma kutoa wimbo wake wa solo.

Karun mwenye miaka 19 anategemea kutoa album yake ya kwanza mwezi August mwaka huu kabla hajaelekea nchini Marekani huo huo kujiendeleza kielimu .

Isikilize ‘Photography’ ya Miss Karun

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents