Miss Kurasini 2009
Miss Vodacom Kurasini 2009 ilifanyika Jumamosi iliopita katika ukumbi
wa Equator Grill Mtoni ambapo Shani Anthony aliibuka mshindi wa kwanza
na kutwaa taji
Mshindi wa pili ni Celina Chipeta na wa tatu ni Irene John, wakati huo huo kundi la Diamond Musica waliangusha burudani tosha.