Promotion

Mkutano wa Wawekezaji wa kubangua Korosho uliodhaminiwa na NMB wafana

IMG_1134
Baadhi ya wadau walioshiriki kongamana la wawekezaji wa zao la korosho wakimsikiliza Ofisa Uhusiano Kitengo cha Kilimo wa benki ya NMB, Nancy Asman (pili kushoto), walipotembelea banda la NMB

IMG_1188
Baadhi ya wadau wa zao la Korosho wakiwa katika kongamano la wawekezaji wa zao la korosho lililofunguliwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal jijini Dar es Salaam
IMG_1111
Meneja Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa akizungumza na Mkurugenzi wa kampuni ya Bytrade Tanzania Bw. Harish Dhutia aliyehudhuria kongamanao la wawekezaji wa zao la korosho

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents