Michezo

Mlindalango wa Simba atua Singida United

Klabu ya Singida United imefanikiwa kuingia kandarasi ya miaka mitatu na aliyekuwa mlindalango wa Njombe Mji FC, David Kisu.

Kisu anayetokea klabu ya Njombe Mji aliwahi pata nafasi ya kuwatumikia mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba msimu wa mwaka 2017/18 .

Usajili wa mlindalango huyo ulichelewa kutokana na mambo ya kandarasi yake na waajiri wake hao wapya kutokuwa sawa.

Mpaka sasa Singida United inafikisha jumla ya walindalango watatu ambao ni Manyika Peter Jr, Ally Mustapha na David Kisu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents