Marimba Music Chart

MMC: Marimba Music Chart wiki hii (29th August 2013)

Lady Jaydee na Ben Pol ndio wasanii ambao wameendelea kushika nafasi za juu katika chart hii rasmi za muziki wa kizazi kipya Tanzania (Marimba Music Chart – MMC) ikiwa ni wiki ya 5, kutokana na kuendelea kufanya vizuri katika chart za radio mbalimbali za Tanzania.

HII NDIO CHART RASMI YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA WIKI HII
MARIMBA CHART (29th AUG 2013)-1
MARIMBA CHART (29th AUG 2013)-2

Ingia HAPA kupata chart ya Marimba ya wiki iliyopita (22nd August 2013)

Marimba Music Chart huandaliwa na BONGO 5 kila wiki kutokana na Chart za Radio mbalimbali (zinazowakilisha radio zote) nchini.
MARIMBA CHART SOURCES (29th AUG 2013)

VIGEZO:
MMC inatumia Chart za radio mbalimbali za Tanzania (sample) kuchuja na kupata orodha ya nyimbo zilizoingia katika chart nyingi zaidi na kupata nyimbo 20 (kwa sasa) ambazo ndio zinazofikia kigezo cha kuingia katika Marimba Music Chart.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents