Marimba Music Chart

Marimba Music Chart: ‘Sugua Gaga’ ya Shaa na ‘Bashasha’ ya Bob Junior zaingia, Diamond aendelea kung’aa kileleni

Mabadiliko yaliyopo wiki hii katika chart rasmi ya muziki wa kizazi kipya Tanzania ‘MMC’, ni maingizo mawili mapya ya wimbo mpya wa Shaa ‘Sugua Gaga’ pamoja na ‘Bashasha’ ya Sharobaro prez Bob Junior.

shaa & bob junior

Wimbo wa Rama D aliomshirikisha Lady JayDee ‘Kama huwezi’ uliokaa kwenye Marimba kwa wiki 14, pamoja na Izzo B ‘ Love Me’ uliokaa kwenye MMC kwa majuma 16 zimeiaga chart wiki hii.

Marimba Music Chart (MMC) ni chart rasmi ya muziki wa kizazi kipya Tanzania, ambayo huandaliwa na BONGO 5 kila wiki kutokana na Chart za Radio mbalimbali (zinazowakilisha radio zote) Tanzania.

HII NDIO CHART RASMI YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TANZANIA WIKI HII (14th November 2013)
MARIMBA CHART (14th NOV 2013)-1
MARIMBA CHART (14th NOV 2013)-2

Ingia HAPA kupata chart ya Marimba ya wiki iliyopita (7th November 2013)

VYANZO:
MARIMBA CHART SOURCES (14th NOV 2013)

VIGEZO:
MMC inatumia Chart za radio mbalimbali za Tanzania (sample) kuchuja na kupata orodha ya nyimbo zilizoingia katika chart nyingi zaidi na kupata nyimbo 20 ambazo ndio zinazofikia kigezo cha kuingia katika Marimba Music Chart.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents