Michezo

Mpinzani wa Mwakinyo atua Bongo na kuahidi mazito ‘Nampiga kwa Knockout (KO) raundi ya kwanza'(+Video)

Bondia bora kabisa ambaye pia anashika namba mbili katika viwango vya ubora nchini Ufilipino, Arnel Tinampay baada ya kuzidiwa na Manny Pacquiao akishika nafasi ya kwanza, tayari amewasili nchini hii leo ikiwa nisehemu ya maandalizi yake dhdi ya Mtanzania Hassan Mwakinyo. Tinampay na Mwakinyo wanatarajiwa kuzipiga tarehe 29 ya mwezi huu wa Novemba huku Mfilipino huyo akidai atalimaliza pambano hilo mapema raundi ya kwanza kwa  Knockout ‘KO’ kama hali itaruhusu tarehe hiyo.

“Anaweza kumpiga kwa KO raundi ya kwanza tu, ila ataangalia hiyo tarehe 29.”- Maneno ya Tinampay yakitafsiriwa na mkalimani wake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents