Habari
Mr Blue ndani ya South Africa
Mr. Blue amewasili jijini Cape Town nchini South Africa tayari kwa makamuzi ya show ya kwanza itakayofanyika Jumamosi hii tarehe 18 Disemba ndani ya Seasons Music Boutique, 18 Bree Street.
Blue anatarajia kupia show nyingine kesho yake ndani ya jiji la Pretoria, wadau mjipange kwa makamuzi ya nguvu.