Burudani
Nani ataibuka mshindi wa BSS?
Usiku wa leo atapatikana mshindi wa shindano la Bongo Star Search, fainali hiyo itafanyika katika ukumbi wa Mlimani City na mshindi atajinyakulia milioni 30 za kibongo, washiriki waliyoweza kuingia katika fainali ni Waziri Salum, Joseph Payne, James Martin, Mariam Mohamed na Bella Kombo.
Washiriki hao watasindikizwa na wakali wa Bongo Flava wakiwemo Ali Kiba, Diamond na Joh Makini.
Washiriki wanaogombania mil 30 kutoka Bongo Star Search wakifanya mazoezi ya mwisho mwisho
Waziri Salum
Joseph Payne
James Martin
Mariam Mohamed
Bella Kombo